Ukiijua hii Saikolojia na tabia ya Askari Polisi, hawatakusumbua sana

Leo nimemvimbia mmoja kwenye mwendokasi.
Natoa simu naangalia picha asinivamie nimempiga picha.
Oh nipe simu nikague,nkamuuliza UNASEMAAAAA?
akaanza kuwaka.
Nkamwakia na gwanda zake.
haha uwa wanajishtukia sana hawa jamaa me kuna trafic walikuwa wamesimamisha bus wakaona nachezea simu, walinivamia eti nifute picha niliyowapiga hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Humble African

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimemvimbia mmoja kwenye mwendokasi.
Natoa simu naangalia picha asinivamie nimempiga picha.
Oh nipe simu nikague,nkamuuliza UNASEMAAAAA?
akaanza kuwaka.
Nkamwakia na gwanda zake.
HONGERA SANA... ENDELEA HIVO HIVO KUWAVIMBIA!
 
Yule wa Dodoma hata ukiwa humble akishona camera tu anatafuta misifa ya kiporipori,kwa kifupi ni mporipori tu KOVA ndo alikuwa mtoto wa mjini.
 
kwa hiyo hata kama akikuchukulia mke wako unakuwa mpole tu..acha uongo mbona raia wengi tu wanawashtaki polisi na hao polisi wanafungwa?... nimeshaona sana hiyo
Ina angalika na uzito wa kosa mkuu makosa madogo madogo huwaga wanashitakiwa kipolisi(kijeshi).Ukiona polisi kafanya kosa then akapelekwa mahakamani jua alitenda kosa kubwa sana,Askari amepewa difensi kubwa sana zidi ya kushitakiwa mbele ya mahakama.

imesomeka!!
 
Reactions: a45
Kwa mfano akibaka.... Kwa hiyo ukitaka kumkomesha polisi unamseti tu kwa mwanafunzi mkaliiiii hapo jela anaiona bila tabu[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…