Ukiijua hii Saikolojia na tabia ya Askari Polisi, hawatakusumbua sana

Haya maisha bhana.

Eti "..nina haki ya kuongea..."

Mara, "...tumia taaluma yako...". Hizi dharau hazihimiliki, ni kujitaftia matatizo.

Lkn polisi wakikushughulikia ipasavyo, ndivyo jina lako linavyokuwa haraka.

Mbise kama ana insta, tayari imejaa followers!

Wanaweza kukupaisha haraka sana, na wanaweza kukushusha ndani ya sekunde.

Always be humble for your security

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! huu Uzi umeuandika siku ngapi mkuu?
 
Nipo ofisni nimecheka kwa sauti hadi sasa naona madesk met wanakuja hapa kuangalia nini nacheka
Looh umeniweza kwakweli
 
Asante kwa kutupatia maarifa haya., ila pia nakupa credit kwa kua carismatic, una ucheshi katika maelezo yako na kufanya andiko lako kua changamfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…