Ukiijua hii Saikolojia na tabia ya Askari Polisi, hawatakusumbua sana

Kama hujapitia kozi yeyote ile ya kijeshi au hata mgambo, huwezi kumuelewa huyu mwandishi
 
Ukiangalia mfumo wa maisha ya familia za mapolisi hasa ktk nchi zetu hizi utaweza kugundua kitu kikubwa sana!
1
. Maisha ya watoto wa wengi huwa ya hovyo, kutokueleweka, yenye shida na mafadhaiko maishani.
2. Huwa hawafanikiwi ktk maisha yao kwa mengi wanayofanya.
3. Mapolisi wenyewe wakistaafu (wengi wao) maisha yao hugubigwa na mashaka, upweke na matatizo.
Laana wanazolisha watoto wao ( rushwa, kupora haki, kubambikizia kesi, kuonea watu, kuumiza watu na hata kuua ndio yanayowatafuna!
 
 
hujatuambia hii superiolity huwa inaishia wapi wakikutana na wanajeshi , kifupi akipita mwanajeshi mbele yao hata asipowaambia chochote huwa wananywea flani hivi ,sasa ikitokea mwanajeshi wa cheo cha chini akiingia kwenye anga zao huwa wanafanya kulipa kisasi na hii ipo nchi zote wanajeshi na polisi hawaelewani japo wanajeshi huwa waelewa na wananchi huwakubali sana
 
Kuna uwezekano kabisa zile akili zako za kitoto zimeakuathiri kwa kiasi kikubwa. Bado unatumia akili zile zile. Japo unaweza kuona umebadirika. Huko mbele wasipokuwahisha au usipobadiri mitazamo,unaweza ukawa chizi
 
Uzi umetulia huu mzee safiii
 
Hahahahah nimeipenda hii
 
Tarehe 28/08/2021 nili-apply hii principle, ingawa tulikuwa na makosa lakini ilitusaidia sana. Ilikuwa hivi: Nikiwa nimebebwa kwenye bodaboda na hatukuvaa helmets, askari kanzu alinyakua ufunguo wa bodaboda kisha kuisukuma bodaboda na kumpelekea askari polisi (traffic) kwa hatua zaidi. Pia mwendesha bodaboda hakuwa na driving licence. Mwendesha bodaboda akaniambia, bro nisaidie nisipigwe faini. Nikamjibu, tulia usiogope! Niliongea na yule polisi kwa unyenyekevu huku nikionesha kumheshimu yeye na kazi yake kisha nikaomba msamaha kwa makosa tuliyofanya. Akanielewa na kutoa msamaha. Pale pale (mbele ya polisi) nikamgeukia mwendesha pikipiki nikamwambia kwa ukali: acheni ujinga wa kuvunja sheria za barabarani kwa makusudi, mtaumia. Haraka katafute driving licence. Akajibu: sawa bro, nitabadilika.
 
Hahahaha
 
Nimecheka saana. Ulipomgeukia bodaboda na kumkandamiza huku Askari akizidi kuamini yeye ndio superior, Kumbe mhuni unacheza na akili yake tu. [emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Nshawahi kumuepuka traffic bila kumpa hata mia kisa maneno yangu yaliyomchota akili
 
Pole! Nimeandika haraka haraka tu kwenye simu yangu ya mkononi Mkuu.

Kesho nikiandikaga tena article nyingine nitakuwekea vituo na paragraph mwanana mkuu. Uienjoy!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeishi na polisi ukiwa mdogo, miaka zaidi ya ishirini, umemuona Baba wa rafiki yako akimpa escort Rais ujue ni heshima sana ile! kifupi ulikulia mazangira km hayo ya kipolisi kwa nini hukuwa polisi??, au ni polisi? eti ukaacha ukaenda kusomea saikolojia, nipe sababu kumi ili nikuamini!

mtoto anavutiwa na kile alichokiona utotoni, nikiwamo mimi nafanya kazi aliyo fanya babangu tena maradufu! nilivutiwa tu na baba, alivo tupenda basi nikapenda kazi yake pia, na wadogo zangu wawili wanafanya kazi hiyo hiyo!
 
Ukiwa na wanawake na Wewe unataka kuonesha ukuu wako hapo ndipo unapojikuta unaumizwa
 
Ila kwenye haya Maisha ... ukifika ile stage ya "Only God Can Judge Me" raha sana, you gotta nothing to worry about!
 
Polisi ni kama mlozi... Usiku anawanga, mchana anaagua.
 
Pole! Nimeandika haraka haraka tu kwenye simu yangu ya mkononi Mkuu.

Kesho nikiandikaga tena article nyingine nitakuwekea vituo na paragraph mwanana mkuu. Uienjoy!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi sana, kwa kifupi wanasema toa ushirikiano nao na utakuwa mmoja wao fever nyingi watakupatia na hata kukupa msaada wa kuwasiliana na ndugu zako, kupata dhamana kwa wakati bila kuwa na vikwazo au masharti magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…