Ahsante kwa Elimu nzuli kama ningewahi kusoma hiii post nadhani ningeweza kutoka mikononi mwao mwaka huu January nilikamatwa kwa kosa la uzuluraji hila niliwasumbuwa sana kwa sheria hila Leo ndy nimepata jibu kwann waliniona mtukutu na mwongeaji sana.Hila nili wini kwa sababu ya Goodfather kuja kunisaport.