Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Hodi humu JF. Asubuhi njema wakuu.
 
Jambo jema
Ila mie utanivumilia kidogo
Lugha zangu hazina staha
Ingawa najitahidi sana kutumia tafsida
hapa ni pahala pangu pa kutolea musongo cum mawazo
Vp wajionaje khali yako huko nyuma??
 
Wewe kumbe ni msumbufu nishakuona.
Ila kwa kuwa ni wakike endelea kudeka toto Zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…