Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Conditions tena jamani! Si tudogoo tu🥹
Marekani akitoa msaada TZ kuna kitu anataka ku-gain, au unadhani anatoa bure tu?
Zama za Nyerere za maduka ya ushirika na kulimiana mashamba ina the name of socialism zimepita, hazipo na haziji tena. Hata bure inalipiwa, au mtani wangu min -me unasemaje bwashee😅
 
Basi lete hizo kondisheni nijipime😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…