Matango
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 535
- 118
Salaam kwa NMB au washirika wao wanaopitia humu kwenye jamvi.
Tofauti na Benki nyingine, kwa maslahi ya kibiashara majina siwezi kuyataja.
Naomba mwenye kujua ni tatizo la kiufundi au salio langu kwenye simu ni tatizo na kama kuna mwingine anapata tatizo hilo tjuane.
Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi, hata kama una uhakika kuwa salio ulikuwa nalo.
lazima uongeze tena salio na uingie mara ya pili ndiyo mtandao wao unakuunganisha na akaunti yako.
Hii maana yake nini? Si mara moja, ni wakati wote ninapotumia huduma hiyo ya simu. Au ndiyo kawaida?