Kama unatumja USSD Kuingia kwenye Menu ya NMB ni lazima uwe na Salio kuu kuanzia kiasi cha 125Tzs. Kwa watumiaji wa Mtandao wa Tigo huwa hakuna Makato wao ni bure.Salaam kwa NMB au washirika wao wanaopitia humu kwenye jamvi.
Tofauti na Benki nyingine, kwa maslahi ya kibiashara majina siwezi kuyataja.
Naomba mwenye kujua ni tatizo la kiufundi au salio langu kwenye simu ni tatizo na kama kuna mwingine anapata tatizo hilo tjuane.
Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi, hata kama una uhakika kuwa salio ulikuwa nalo.
lazima uongeze tena salio na uingie mara ya pili ndiyo mtandao wao unakuunganisha na akaunti yako.
Hii maana yake nini? si mara moja, ni wakati wote ninapotumia huduma hiyo ya simu. Au ndiyo kawaida?
Use Original SIM.Kumbe...Mimi App inaniambia eti niingize namba ya simu!
Hakuna changesUse Original SIM.
Hapa huwa umebadili Chip ambayo umesajili kwa NMB Mobile App. Hivyo App haiwezi kufanya kazi endapo Chip inserted sio ambayo imekuwa registerd.
Kama namba uliyosajili haina bandle tumia Wi-Fi na si kubadili chip.
Hii inazuia access kwenye account yako endapo mtu atafanikiwa kujua namba yako ya siri kuweza kuingia kwa kutumia simu nyingine, bado itamtaka awe na Chip yako kitu ambacho ni ngumu labda akuibie na simu yenyewe.
Karibu
Hakuna changes
Kwaio unatumia IOS halafu unatumia na NMB? Nenda Standard Chartered au ABSA...App yao tena ukiwa unatumia iOS matatizo yale yale haikubali kufunguka ukienda kujiunga ATM inakuletea mapicha picha nilishaikatia tamaa
Acha uongoSimbanking App ya CRDB usipokuwa na Salio la kawaida kwenye Simu hupati huduma, hii serikali sijui inataka kutupeleka wapi
Wanaokukata sio NMB wanaokukata ni mtandao wa simu unao tumiaSometimes natumia hadi mia tatu kuingia nmb mobile..y...yaani kwenye kukata miamia hawana ajizi.. but kukupa huduma uitakayo ni mtiti...inashangaa ngoma unazunguka tu hupati jibu
Uliitolea taarifa?? Hata huduma kwa watejaApp yao tena ukiwa unatumia iOS matatizo yale yale haikubali kufunguka ukienda kujiunga ATM inakuletea mapicha picha nilishaikatia tamaa
π imebid ncheke kwanza, haya natumia na stanbic pia...Kwaio unatumia IOS halafu unatumia na NMB? Nenda Standard Chartered au ABSA...
Yeah nilifanya hivyoUliitolea taarifa?? Hata huduma kwa wateja
π imebid ncheke kwanza, haya natumia na stanbic pia...
Naam mzee hayo ndo maneno aisee...hio NMB Mobile itumie kwenye kiswaswadu....π imebid ncheke kwanza, haya natumia na stanbic pia...
ulichokiongea sio sahihi, Kwenye App ya crdb simbanking inahitaji bando lako tu mkuu.Simbanking App ya CRDB usipokuwa na Salio la kawaida kwenye Simu hupati huduma, hii serikali sijui inataka kutupeleka wapi