Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi

Sometimes natumia hadi mia tatu kuingia nmb mobile..y...yaani kwenye kukata miamia hawana ajizi.. but kukupa huduma uitakayo ni mtiti...inashangaa ngoma unazunguka tu hupati jibu

Download NMB App.
 
Simbanking App ya CRDB usipokuwa na Salio la kawaida kwenye Simu hupati huduma, hii serikali sijui inataka kutupeleka wapi

Sio kweli. Inahitaji bundle la internet sio hicho ulichosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…