Ukiishi Kigamboni ni kama uko nchi nyingine

Ukiishi Kigamboni ni kama uko nchi nyingine

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Yaani kigamboni pamekaa kushoto sana, pantoni zenyewe magumashi tupu, kuna muda usiku huwezi kupata huduma. Kuishi kigamboni ni sawa na kuishi Bujumbura tu. Changamoto ni nyingi...
 
Sijawai kuelewa kigambonj Kuna uspecial gani mpk vitu,viwanja na huduma kua ghali vile

Napaona pa Kawaida sana
 
ENEO salama kuishi kiafya ni KIGAMBONI halina Uchafuzi wa Mazingira kama Viwanda kuturirisha Maji machafu
Magari kutembea Usiku Kucha kama Manzese kimara n.k
Miti imepandwa mingi
Upepo wa Bahari unavuma VIBAKA na UHUNI wa Mwananyamala hakuna Kuna WANAJESHI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ni Kigamboni pekee unaingia kwa pesa na kutoka kwa pesa, ni kigamboni pekee watu wana panda panton wakikimbia na kushuka wakikimbia, ni kigamboni pekee pisi unayo iona leo pale kivukoni unaeza usikutane nayo tena labda baada ya miezi kadhaa, karibu kigamboni upepo mwanana hivi sasa tumeongeza vivuko kwa udhamini ya Azam chama kubwa na punde tutafuta tozo daraja letu pendwa[emoji23][emoji28]
 
Noma sana!
 
Back
Top Bottom