mbagala tena khaaa! huo si mkoa mwingine tenaHAMIA MBAGALA MKUU KWANINI ULAZIMISHE KUKAA HUKO?
Noma sana!Ni Kigamboni pekee unaingia kwa pesa na kutoka kwa pesa, ni kigamboni pekee watu wana panda panton wakikimbia na kushuka wakikimbia, ni kigamboni pekee pisi unayo iona leo pale kivukoni unaeza usikutane nayo tena labda baada ya miezi kadhaa, karibu kigamboni upepo mwanana hivi sasa tumeongeza vivuko kwa udhamini ya Azam chama kubwa na punde tutafuta tozo daraja letu pendwa[emoji23][emoji28]
Kibaha kuko poa sana.Halafu viwanja wanauza bei ghali kweli, tena maporini, yaani afadhali niishi Kibaha kulikoni huko