Ukiitaka nipm

Ukiitaka nipm

Thanks wanajf wote nimeipata leo hii nimecheka sana nikaona sio dhambi na nyie mkajionea wakucheka wamecheka naamini mtaanza wkend zenu vizuri.......No one can be more honest than a genuine friend without making you angry.
 
Haaa haaaaaaaa hebu usinichekeshe miye R.I.P haya hebu nizione ndio zinafananaje hizo ??

Bahati mbaya hutaziona wala mwangwi wake hutausikia....

Acha bwana habari ya kujua ukweli unaokata kuliko kisu cha kwenye butcher!!


Bado napenda kuishi na mambo mengine yabaki huko huko kwenye siri zao!
 
Bahati mbaya hutaziona wala mwangwi wake hutausikia....

Acha bwana habari ya kujua ukweli unaokata kuliko kisu cha kwenye butcher!!


Bado napenda kuishi na mambo mengine yabaki huko huko kwenye siri zao!


Nimekusoma mkuu,nice wkend
 
Nimekusoma mkuu,nice wkend

Poa,

Week end njema na wewe pia...Hayo mambo ya kuchangua changu uachane nayo, sawa ndugu yangu!! Usijeshindwa kumla bata bure wakati unamtamani!!
 
Tunataka idadi ya ndugu zetu waliyokufu ktk Mv Spice, kwaiyo nataka nilikodi, inawezekana ama ndo linauzwa
 
Hii mashine inatakiwa awekewe J kikwete, akiwa anahutubia, akikenua tu, analambwa kofi........yani akikenua unafki analo!!
then akisema Megawatt, analambwa kibao, akisema mvua sijui mawingu, analambwa ngumi!!

kudadeeeekii!!!
 
lolzy nitakupm, lakini nihakikishie huna hilo lirobot manake daaa....
 
Mi ninunue mashine yangu moja niiweke hapa jamvini mana wadada w hapa wanajidai wasafi sana wale maslap y kutosha mpk wakome!!
 
Back
Top Bottom