lolyz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 339 Reaction score 199 Sep 23, 2011 Thread starter #21 Thanks wanajf wote nimeipata leo hii nimecheka sana nikaona sio dhambi na nyie mkajionea wakucheka wamecheka naamini mtaanza wkend zenu vizuri.......No one can be more honest than a genuine friend without making you angry.
Thanks wanajf wote nimeipata leo hii nimecheka sana nikaona sio dhambi na nyie mkajionea wakucheka wamecheka naamini mtaanza wkend zenu vizuri.......No one can be more honest than a genuine friend without making you angry.
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,253 Reaction score 11,626 Sep 23, 2011 #22 lolyz said: Haaa haaaaaaaa hebu usinichekeshe miye R.I.P haya hebu nizione ndio zinafananaje hizo ?? Click to expand... Bahati mbaya hutaziona wala mwangwi wake hutausikia.... Acha bwana habari ya kujua ukweli unaokata kuliko kisu cha kwenye butcher!! Bado napenda kuishi na mambo mengine yabaki huko huko kwenye siri zao!
lolyz said: Haaa haaaaaaaa hebu usinichekeshe miye R.I.P haya hebu nizione ndio zinafananaje hizo ?? Click to expand... Bahati mbaya hutaziona wala mwangwi wake hutausikia.... Acha bwana habari ya kujua ukweli unaokata kuliko kisu cha kwenye butcher!! Bado napenda kuishi na mambo mengine yabaki huko huko kwenye siri zao!
lolyz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 339 Reaction score 199 Sep 23, 2011 Thread starter #23 Dark City said: Bahati mbaya hutaziona wala mwangwi wake hutausikia.... Acha bwana habari ya kujua ukweli unaokata kuliko kisu cha kwenye butcher!! Bado napenda kuishi na mambo mengine yabaki huko huko kwenye siri zao! Click to expand... Nimekusoma mkuu,nice wkend
Dark City said: Bahati mbaya hutaziona wala mwangwi wake hutausikia.... Acha bwana habari ya kujua ukweli unaokata kuliko kisu cha kwenye butcher!! Bado napenda kuishi na mambo mengine yabaki huko huko kwenye siri zao! Click to expand... Nimekusoma mkuu,nice wkend
C charndams JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 436 Reaction score 128 Sep 23, 2011 #24 lolyz, nisamehe, sina mbavu! duh, kazi ipo.
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,253 Reaction score 11,626 Sep 23, 2011 #25 lolyz said: Nimekusoma mkuu,nice wkend Click to expand... Poa, Week end njema na wewe pia...Hayo mambo ya kuchangua changu uachane nayo, sawa ndugu yangu!! Usijeshindwa kumla bata bure wakati unamtamani!!
lolyz said: Nimekusoma mkuu,nice wkend Click to expand... Poa, Week end njema na wewe pia...Hayo mambo ya kuchangua changu uachane nayo, sawa ndugu yangu!! Usijeshindwa kumla bata bure wakati unamtamani!!
lolyz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 339 Reaction score 199 Sep 23, 2011 Thread starter #26 charndams said: lolyz, nisamehe, sina mbavu! duh, kazi ipo. Click to expand... Umeona eeheee yaan kaaazi kwelikweli
charndams said: lolyz, nisamehe, sina mbavu! duh, kazi ipo. Click to expand... Umeona eeheee yaan kaaazi kwelikweli
Mkwaruzo JF-Expert Member Joined Feb 21, 2011 Posts 563 Reaction score 98 Sep 23, 2011 #27 Tunataka idadi ya ndugu zetu waliyokufu ktk Mv Spice, kwaiyo nataka nilikodi, inawezekana ama ndo linauzwa
Tunataka idadi ya ndugu zetu waliyokufu ktk Mv Spice, kwaiyo nataka nilikodi, inawezekana ama ndo linauzwa
Memo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 2,157 Reaction score 760 Sep 23, 2011 #28 Hii mashine inatakiwa awekewe J kikwete, akiwa anahutubia, akikenua tu, analambwa kofi........yani akikenua unafki analo!! then akisema Megawatt, analambwa kibao, akisema mvua sijui mawingu, analambwa ngumi!! kudadeeeekii!!!
Hii mashine inatakiwa awekewe J kikwete, akiwa anahutubia, akikenua tu, analambwa kofi........yani akikenua unafki analo!! then akisema Megawatt, analambwa kibao, akisema mvua sijui mawingu, analambwa ngumi!! kudadeeeekii!!!
M Magoo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 445 Reaction score 72 Sep 23, 2011 #29 hii nouma mzee hw much?
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Sep 23, 2011 #30 Mmmh! Kwa mtindo huu lolyz we ungechapwa vibao vingapi??
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,042 Reaction score 776 Sep 23, 2011 #31 lolzy nitakupm, lakini nihakikishie huna hilo lirobot manake daaa....
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Sep 23, 2011 #32 lolyz said: >>>> The machine is available in the Chinese market if u need one contact me immediately!! Click to expand... "Twack!!!
lolyz said: >>>> The machine is available in the Chinese market if u need one contact me immediately!! Click to expand... "Twack!!!
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,244 Reaction score 1,741 Sep 23, 2011 #33 Mi ninunue mashine yangu moja niiweke hapa jamvini mana wadada w hapa wanajidai wasafi sana wale maslap y kutosha mpk wakome!!
Mi ninunue mashine yangu moja niiweke hapa jamvini mana wadada w hapa wanajidai wasafi sana wale maslap y kutosha mpk wakome!!