Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
 
1629516935418.png
 
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Si ajabu hata askari walafanya kazi yao ya kutzima maandamano chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Wewe huandamani? Siyo kwamba wewe uombe au ndiyo yale yale ya kutanguliza wana wa wenzio?
 
Mkuu Watanzania wameanza kuamka hii SUSIA SUSIA imeanza kuiumiza hii Serikali haramu PAKUBWA TU! Na huu ni mwanzo tu ni lazima wasalimu amri WATAKE WASITAKE!
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, di ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
 
Mkuu Watanzania wameanza kuamka hii SUSIA SUSIA imeanza kuiumiza hii Serikali haramu PAKUBWA TU! Na huu ni mwanzo tu ni lazima wasalimu amri WATAKE WASITAKE!
Kama kipi kilichosusiwa kiongozi? Wengine tupo nanjilinji huku mkuu, tuhabarIshane
 
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, di ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
CCM inaogopa sana Kitu kinaitwa Maandamano, Peacefully Demonstration
 
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, di ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Watanzania bado wana woga mkubwa sana, labda ianzishwe tozo ya miguu, yaani kila mwenye miguu analipia mia, naamini akili zitafunguka wataandamana,bila hivyo tutazoea tu hizi tozo baada ya siku chache na maisha yataendelea

Wito kwa serikali yetu sikivu, hebu anzisheni tozo nyingine maana tunajenga nchi,anzisheni hata kodi ya miguu au ya kichwa, watanzania ninwema sana na wapenda maendeleo
 
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Kwanini wewe usiende kuomba kibali, alafu uangalie kama kuna watu watakuunga mkono

Kwa nini wewe usiongoze badala ya 'mwanaharakati'.?

Au unaogopa kupigwa mkuu?
 
CHADEMA kwenye hili la tozo mpya mngetumia nguvu kidogo sana kuliko mnavyohangaika na katiba mpya ambayo kimsingi itawachukua miaka na nguvu nyingi kuwaelewesha wananchi vile mnavyotaka nyie
 
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.

Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.

Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.

Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matape
Yakiitishwa na nini? Wewe siyo mtanzania unatoa amri tu huku umejificha JF takufa kibali wewe mwenyewe uwe mstari wa mbele ongoza maandamano.
 
Kwanini wewe usiende kuomba kibali, alafu uangalie kama kuna watu watakuunga mkono

Kwa nini wewe usiongoze badala ya 'mwanaharakati'.?

Au unaogopa kupigwa mkuu?
Ingekuwa wale jamaa wanagawa haf keki unafikiri kuna mtu asingeandamana😅
 
Back
Top Bottom