Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wewe huandamani? Siyo kwamba wewe uombe au ndiyo yale yale ya kutanguliza wana wa wenzio?Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Si ajabu hata askari walafanya kazi yao ya kutzima maandamano chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, di ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.

Kama kipi kilichosusiwa kiongozi? Wengine tupo nanjilinji huku mkuu, tuhabarIshaneMkuu Watanzania wameanza kuamka hii SUSIA SUSIA imeanza kuiumiza hii Serikali haramu PAKUBWA TU! Na huu ni mwanzo tu ni lazima wasalimu amri WATAKE WASITAKE!
CCM inaogopa sana Kitu kinaitwa Maandamano, Peacefully DemonstrationNi imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, di ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Mkuu hii nchi ukiamua kuua Watu wapumbavu Utajikuta umeua mpaka ndugu zakoHoja ni nn kwenye hayo maandamano? Maana miaka michache iliyopita watu walipanga foleni siku nzima benki kulipia kodi hii ya majengo.
Watanzania bado wana woga mkubwa sana, labda ianzishwe tozo ya miguu, yaani kila mwenye miguu analipia mia, naamini akili zitafunguka wataandamana,bila hivyo tutazoea tu hizi tozo baada ya siku chache na maisha yataendeleaNi imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, di ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Watanzania hawawezi hiyo mambo sie ni sawa na maiti zinazotembea! Hivi na hizi tozo zipo visiwani
Kwanini wewe usiende kuomba kibali, alafu uangalie kama kuna watu watakuunga mkonoNi imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Yakiitishwa na nini? Wewe siyo mtanzania unatoa amri tu huku umejificha JF takufa kibali wewe mwenyewe uwe mstari wa mbele ongoza maandamano.Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matape
Itakuwa ajabu la karne kama maiti anaweza andamanaš¬Mzee Jomo Kenyatta.. " watanzania ni maiti..."
Ingekuwa wale jamaa wanagawa haf keki unafikiri kuna mtu asingeandamanašKwanini wewe usiende kuomba kibali, alafu uangalie kama kuna watu watakuunga mkono
Kwa nini wewe usiongoze badala ya 'mwanaharakati'.?
Au unaogopa kupigwa mkuu?
Mkuu umesahau huyu jamaa ni nyumbu? Ahahahahahh!!Wewe huandamani? Siyo kwamba wewe uombe au ndiyo yale yale ya kutanguliza wana wa wenzio?