Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.
Mkuu Watanzania wameanza kuamka hii SUSIA SUSIA imeanza kuiumiza hii Serikali haramu PAKUBWA TU! Na huu ni mwanzo tu ni lazima wasalimu amri WATAKE WASITAKE!
Mkuu,nchi hii in ya watu wachache hawafiki hata milioni moja.Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.