Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

Duuh sasa maswali kama ndiyo haya mbona Kuna watu wamepenya kwenye baadhi ya Ajira za umma na hawana ubora wowote kwenye utendaji hususani kada ya ualimu
 
Duh sasa kuna swali gani gumu hapo?

Kweli vijana siku hizi hamsomi kabisa!
 
Kwa kukushauri ingia YouTube pitia kwenye interview qns and answers ,itakupa mwanga sana wa namna ya ku win interview na how to prepare yourself before any interview
 
pongera, usivunjike moyo wala usikate tamaa ipo siku utatusua .
 
Interview kama hizi zinazobase kwenye field niliyosomea hunitoi kabisa,nakumbuka nilifanya moja Magereza nilikuwa natabasam tu ,nakumbuka waliniuliza Mambo kama what is project,advantage of using discounted rate, Difference between IRR and CBA ,Importance of appraising a project before execution,niliwapigia vitu wakakubali ila urefu na alama mwilini vikazingua
 
Utumishi SIKU hizi wanatoa sehemu yoyote wanayoona IPO kwenye course outline yako
 
Back
Top Bottom