nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 805
No mbona maswali ya kawaida sana hayo labda kama maandalizi hayakufanyika so huyo 93 sio ajabuIla mtihani haukuwa mgumu huo aisee kujieleza sio tatizo, ila huyo wa 93 atakuwa alikuwa na mark scheme ka wale wa TRA Hadi mitihani ikafutwa
Mkuu nisaidie notes za research kama ulipataHabari yako mkuu.
Naomba Kama una notes nzuri za research unisaidie?
Ualimu hakuna interview jombaDuuh sasa maswali kama ndiyo haya mbona Kuna watu wamepenya kwenye baadhi ya Ajira za umma na hawana ubora wowote kwenye utendaji hususani kada ya ualimu
Sasa imeliona Hilo swali moja ndo unasema rahisi mkuu..? Kumbuka hata Hilo swali kama hujapitia vizuri huwezi kutoboaMbona maswali marahisi sana simple and understood, hizo duties za nafasi huwa wanazitangaza kwenye tangazo la kazi
SELF degree analipwaje ?? Nimeona kama smfss4Jana tumepiga ya self microfinance kada ya credit officer ii
Sijui mkuuSELF degree analipwaje ?? Nimeona kama smfss4
SELF Hawa jamaa wa wizara ya fedhaJana tumepiga ya self microfinance kada ya credit officer ii
Wamebadrika siku hizi?Utumishi SIKU hizi wanatoa sehemu yoyote wanayoona IPO kwenye course outline yako