Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

Watu wa mjengoni mumesoma muongozo huu...?
 
Hongera sana kwa kupata marks hizo nilifanya interview ya kwanza na utumishi nilipata marks kama. Zako na nikachaguliwa na ndiyo kazi naifanya pengine haikuwa bahati yako.
Oral interview zinakuaje mzee tupe dodoso wengine hatujawahi kufika hatua hiyo?
 
Oral interview zinakuaje mzee tupe dodoso wengine hatujawahi kufika hatua hiyo?oral ni kama mtihani wa kwanza ila unakuwa kwa mfumo wa mahojiano yani face to face unapigwa swali unajibu.
 
Swali 3 ,4 na 5 ndio Yana marks
 
Ukiona hivyo jua haikuvuja hio.Kule TRA wahuni hua wanapata mpk 97.
Si kweli wanaopata 97 kwamba paper ilivuja. Wengne ni experience ya format ya paper zao. Nshawahi kupiga paper ya PSRS 98 na anayenifuata alikuwa na 86. Ila all in all kazi ilimwendea alipata 86..gender gender gender....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…