Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mostly ni marafiki wataabishaji tuConnection ni muhimu sana kaka
Connection inaanzia nyumbani mpaka kwa watu usiowajua.
Ukiwakataa ukiwa hai utakuja kuwajua ukishakufa
Nakubaliana na wewe pia mkuuUnajua Wangari,
Maana ya connection hasa inapaswa tuijue... Inafit katika nyanja gani?
Mleta thread hujamwelewa...Connection ni muhimu sana kaka
Connection inaanzia nyumbani mpaka kwa watu usiowajua.
Ukiwakataa ukiwa hai utakuja kuwajua ukishakufa
Hakika.Mleta thread hujamwelewa...
First BookMara nyingi ukiwa mjini ni bora kutengeneza mahusiano na wale wale uliowakuta + kuwapa kazi kwa sabbu kutakuwepo na discipline ya kutosha + kuheshimiana...
Naam! Nimeelewa na kujifunza
Wanapretend kuja kukutembelea ili wapige simu kijijini waeleze hatua au mkwamo wako.Mara nyingi ukiwa mjini ni bora kutengeneza mahusiano na wale wale uliowakuta + kuwapa kazi kwa sabbu kutakuwepo na discipline ya kutosha + kuheshimiana...
Hamna namna wapeleke tu wapajue.Watu wa vijijini hapana asee...na wanapenda kufosi kujua home kwako
Mi nawakaribishaga sina cha kuficha...nachoshangaa wao nikienda kwao wanajificha[emoji848]Hamna namna wapeleke tu wapajue.
KumbeMi nawakaribishaga sina cha kuficha...nachoshangaa wao nikienda kwao wanajificha[emoji848]
Ndio hivyoAsee...