Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
pole kwa kuugua kijiba cha rohoVisiwani ni wanavisirani sana...
Nyerere alichemka sana kwenye huu MuunganoZanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano. Ukiwa zanzibar kila kitu ni cha zanzibar bila kujali katiba ya muungano.
- SERIKALI
- BUNGE
- MAHAKAMA
- VIKOSI MAALUM
Case study suala la bandari.
Wazanzibar wanathamin vyao wanaonea faghari vya kwao wanavitunza na kuvidumisha watanganyika mwaonea AIBU UTANGANYIKA wenu mnaukataa ZANZIBAR nayo imekataa kuwa koloni la watu weusiZanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano. Ukiwa zanzibar kila kitu ni cha zanzibar bila kujali katiba ya muungano.
- SERIKALI
- BUNGE
- MAHAKAMA
- VIKOSI MAALUM
Case study suala la bandari.
Tanganyika ipi ?Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano. Ukiwa zanzibar kila kitu ni cha zanzibar bila kujali katiba ya muungano.
- SERIKALI
- BUNGE
- MAHAKAMA
- VIKOSI MAALUM
Case study suala la bandari.
Usishangae. Hivyo ndivyo Nyerere alivyotaka. Kifupi vunjeni Muungano tugawane mbao kwa Zanzibar hautakiwi kabisa Muungano wenu huu.Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano. Ukiwa zanzibar kila kitu ni cha zanzibar bila kujali katiba ya muungano.
- SERIKALI
- BUNGE
- MAHAKAMA
- VIKOSI MAALUM
Case study suala la bandari.
Afu unakuta jitu linajisifia ujinga[emoji848]huu muungano unakera mwa kweliZanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano. Ukiwa zanzibar kila kitu ni cha zanzibar bila kujali katiba ya muungano.
- SERIKALI
- BUNGE
- MAHAKAMA
- VIKOSI MAALUM
Case study suala la bandari.
Hata sarafu wanatumia ya hukuZanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.