Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

Zanzibar ni kama mkoa mmoja tu huku bara sasa bila kuweka restriction kwa baadhi ya mambo wazawa wanawezwa kuhamishwa wote kama wazaramo na wandengereko walivyo hamishwa kutoka Dar, minaona haina athari yeyote.
 
Watanganyika wanataka
SERIKALI YA TANGANYIKA KUSIMAMIA MAMBO NA RASILIMALI ZA TANGANYIKA pekee NDIO SULUHISHO LA KUDUMU
Hivi katiba ya Zanzibar inavyofanya kwa MASUALA na RASILIMALI za Zanzibar na kuwatambua Wazanzibar peke yao
Katiba ya Tanganyika itafanya hivyo hivyo kwa upande wa Tanganyika
Kisha masuala machache ya muungano ya ulinzi nje fedha ndani ndio yawe ya muungano
Kwa ufupi NI WAKATI MUAFAKA KWA MALI RASILIMALI NA KILA KITU CHA TANGANYIKA KILINDWE NA KATIBA YA TANGANYIKA kando ya masuala machache ya MUUNGANO
NI HATARI SANA WAZANZIBAR KUWA NA UWEZO WA KUSAINI MIKATABA RASILIMALI ZA TANGANYIKA WANAWEZA KUIPA HATA SMZ MIGODI YA TANGANYIKA KUSIKIA mali mbalimbali za Tanganyika mfano MIGODI YA MAKAA YA MAWE KIWIRA INAMILIKIWA na SMZ na Wazanzibar kwa ajili ya Wazanzibar peke yao daima dumu

Oya acha uchochezi!!!
Unafahamu kifungo cha nyoka?
 
Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.

Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
  • SERIKALI
  • BUNGE
  • MAHAKAMA
  • VIKOSI MAALUM
Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano. Ukiwa zanzibar kila kitu ni cha zanzibar bila kujali katiba ya muungano.

Case study suala la bandari.
Umesahau, nyimbo yao ya Taifa. Bendera yao, Rais wao.

Sasa unangoja nini? Si jinyonge tu?
 
Back
Top Bottom