Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

Zanzibar ni kama mkoa mmoja tu huku bara sasa bila kuweka restriction kwa baadhi ya mambo wazawa wanawezwa kuhamishwa wote kama wazaramo na wandengereko walivyo hamishwa kutoka Dar, minaona haina athari yeyote.
 

Oya acha uchochezi!!!
Unafahamu kifungo cha nyoka?
 
Umesahau, nyimbo yao ya Taifa. Bendera yao, Rais wao.

Sasa unangoja nini? Si jinyonge tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…