Ukija tu PM unapata buku la Vocha.

Ukija tu PM unapata buku la Vocha.

Micro IQ

Member
Joined
May 13, 2018
Posts
73
Reaction score
122
Kama heading inavyojieleza ukija tu Pale Miembeni (PM) kama wewe Ni Ke chap unapata buku la vocha.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Povu Luksa.
 
Aisee umejiunga Jana.
Hapa sio mahali pa mzaha, ni jukwaa la Great Thinkers.
Jukwaa la mizaha linaitwa jokes, unaweza ukawa unapost huko
 
Aisee umejiunga Jana.
Hapa sio mahali pa mzaha, ni jukwaa la Great Thinkers.
Jukwaa la mizaha linaitwa jokes, unaweza ukawa unapost huko
Jukwaa habari na hoja Mchanganyiko unaweza ukawa humu kumbe ni useles .
 
Weweeee. Nina wasiwasi na age yako hivyo wacha nikae kimya sababu naweza onekana nina dharau bureee.

Kwaheri. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Big up Jombaa they say dont argue with a fool because people might not see the difference. nahisi za jana bado anazo kichwani tumsamehe tu
 
Big up Jombaa they say dont argue with a fool because people might not see the difference. nahisi za jana bado anazo kichwani tumsamehe tu
Kweli kabisa usemalo Mkuu.

Nimepata shaka kabla na jinsi anavyozidi kuandika vituko inaonyesha dhahiri kwamba mbali na utoto alionao pia kichwani hayupo vizuri huenda ikawa bado hazijamtoka.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom