Ukijaza gesi ya Tsh. 6,000 kwenye Bajaji unapata faida ya Tsh. 50,000, ila kupata faida hiyo kwa Mafuta inabidi ujaze ya Tsh. 20,000

Bado Petroli ni nzuri zaidi kuliko Gas.
 
Pita hapo Magufuli hostel wamejenga kituo kikubwa sana cha kujaza gesi.
 
Mbona ujaweka na garama ya kubadili bajaji ya petrol kutumia gas
Unaweka faida bira kuweka garama za kupata faida iyo

Tofauti na izo bajaji zilizotengenezwa maalum kutumia gesi je kuna madhara gan ya kubadili kitu kinachotumia petrol kutumia gas
Hoja ya msingi sana hii
 
Mnaangalia short term ,Ila service ya hiyo bajaji ikichoka ni hatarii.Chuma hicho hakikutengenezwa kuhimili joto la gesi ila mnalazimisha tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…