Market maker
Member
- Jun 6, 2026
- 35
- 75
Safi ,nyumba inakuwa kama HOTEL.Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200.
Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi.
Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto.
Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.
Uzi wa wenye zaidi ya million mia 200 huu!
Zile 213m zako ulishajenga au umetafunia mbususu?mwewe sasa una million 200 unashindwaje kujenga nyumba standard mwanawane.....
Zimeishia kuokoa uhai wangu pale icu mkuuZile 213m zako ulishajenga au umetafunia mbususu?
Pole mkuu.Zimeishia kuokoa uhai wangu pale icu mkuu