Ukijifungia kwenye uzio wa " Vitu vya kike" " Mambo ya kike" Utakosa raha duniani.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Mimi nanunua ubuyu nakula,
Nanunua chips yai nakula
Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume.

Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani.



Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
 
safi sana hata ukiona pedi unavaa tu
 
S
Siku ukija kununua bikini na kuivaa usije andika uzi hapa jukwaani,Baki nalo moyoni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…