TypingError
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 500
- 480
Jinsia gani mkuu???
Mwisho wa siku utapatwa na hamu ya hogo
Hahahahaha
Au sio! Unakula ice cream hadharani na ikiwa tamu unafumba macho 😂😂Mimi nanunua ubuyu nakula,
Nanunua chips yai nakula
Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume.
Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani.
View attachment 3312945
Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
Niletee mnduku hukoJidanganye