Ukijifungia kwenye uzio wa " Vitu vya kike" " Mambo ya kike" Utakosa raha duniani.

Dada zako wananyonya Ndunga nadhani na wewe unanyonya na hapo ulipo umevaa Abaya huna baya hakuna vitu vya kike toa tu mkuu nduniwako .
 
We jamaa naona unakoelekea sio kuzuri, utauponza haszu
 
uko sahihi "blaza" mimi pia nakula hivyo vitu sana tu, ila kuna jinsi ya kula kama mwanaume...! sijui unanielewa!? mfano ndizi kuna umenyaji na ulaji wake unakata na meno mara ya kwanza ya pili iwe imeshaisha unatupa ganda! koni pia ikiwa umeamua kujiburudisha nayo kuna kuila kiume sio ulambe lambe mbele za watu na kaulimi kama toto la nyoka, ng'ata na meno meza ikayayukie tumboni๐Ÿ˜Ž
 
Kwanini uharibu meno kwa kungโ€™ata barafu? Unamuogopa nani?
 
Mkuu; jimwayemwaye, wasikupangie, waache waendelee na unafki wao.
 
Yaheee twajua sana hayo ...siyo kila kitamu chaliwa yaheee....hata mkunyenge ukikuingilia wanadai mtamu kwa walio ingiliwa ...sasa weye wasemaje ?wataka na mkunyenge wanadai ni mtamu sana kwa watoto wa kiume pia ? Wasemaje yaheee
 
Wewe ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ