mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Habari za asubuhi Wanajamiiforums!
Kama mjuavyo, nchi yetu ina maadui wakuu watatu, ambao ni ujinga, umasikini, na maradhi.
Katika muktadha wangu, umasikini pamoja na maradhi vyote naviacha nyuma nikimfuatia huyu adui 'ujinga'.
Watanzania bado ni washamba wa watu werevu, watu smart. Ukishagundua wewe ni smart kwa kitu chochote chenye tija, basi jihadhari sana na jamii hii ya Watanzania walio wengi.
Wengi huwa ni watukanaji, wanaobeza, na wanaodharau wasivyovijua. Ukiwa smart utakuwa adui wa Watanzania wengi.
Ushauri:
Kwa mustakabali wa maisha yako, ukishajijua ni smart/exceptional, jitahidi ujihadhari. Jamii yako si rafiki.