mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Halafu watu smart wanarogwa sana....Habari za asubuhi Wanajamiiforums!
Kama mjuavyo, nchi yetu ina maadui wakuu watatu, ambao ni ujinga, umasikini, na maradhi.
Katika muktadha wangu, umasikini pamoja na maradhi vyote naviacha nyuma nikimfuatia huyu adui 'ujinga'.
Watanzania bado ni washamba wa watu werevu, watu smart. Ukishagundua wewe ni smart kwa kitu chochote chenye tija, basi jihadhari sana na jamii hii ya Watanzania walio wengi.
Wengi huwa ni watukanaji, wanaobeza, na wanaodharau wasivyovijua. Ukiwa smart utakuwa adui wa Watanzania wengi.
Ushauri:
Kwa mustakabali wa maisha yako, ukishajijua ni smart/exceptional, jitahidi ujihadhari. Jamii yako si rafiki.
Naunga mkono hojaHabari za asubuhi Wanajamiiforums!

Hahahaha! Jamii yetu hii KWA MAKUSUDI kabisa imeamua kukataa maarifa, na kugeukia mambo ya kipuuzi, hivyo ujinga wa watu wake ni wa kujitakia. Ni jamii hatari sana, ni ya kukaa nayo kwa tahadhari.Umeandika ukweli ila hapa kila mmoja atajifabya nae ni smart, hata wale dumbs
Yes, try to show your potentials only WHEN NECESSARY TO. Hide!Ukweli mtupu....
Jamii hii imekataa maarifa. Imechagua upumbavu. Ni pumbavu kwa sababu imekataa maarifa. Imeamua kuwa jamii pumbavu(by far).Wakijua una kitu kichwani, watakupiga mawe, watahakikisha umekua mjinga kama wao, watasherekea anguko la upumbavu wako baada ya kukuangusha. My poor community ndio Iko hivyo uwh