mdogo wenu wamwisho
Member
- Oct 5, 2026
- 31
- 51
Wakuu, kuna mambo madogo tunayoyafanya kila siku ambayo yanaweza kuwa yanaturudisha nyuma bila sisi kujua.
Fikiria kujipa siku 30 za kufanya haya:
Asante
Fikiria kujipa siku 30 za kufanya haya:
- Kupunguza muda wa mitandao ya kijamii.
- Kuacha pombe na vyakula visivyo na afya.
- Kusoma angalau dakika 30 kila siku.
- Kufanya mazoezi dakika 30.
- Kuamka mapema na kulala kwa wakati.
- Kutenga muda wa kutafakari na kupata mwanga wa jua.
Asante