mdogo wenu wamwisho
Member
- Oct 5, 2026
- 31
- 51
Sahihi kabisa.Ukitaka kufanikiwa acha:-
1 Mahusiano na mwanamke tegemezi.
2 Marafiki vilaza(wasio na maono)
3 Kupoteza mda bila sababu
4 Kulalamika
5 Kungangania sehemu isio na faida
6 Usitegemee miujiza tafuta mbinu
Ngoja waje.Wakuu, kuna mambo madogo tunayoyafanya kila siku ambayo yanaweza kuwa yanaturudisha nyuma bila sisi kujua.
Fikiria kujipa siku 30 za kufanya haya:
- Kupunguza muda wa mitandao ya kijamii.
- Kuacha pombe na vyakula visivyo na afya.
- Kusoma angalau dakika 30 kila siku.
- Kufanya mazoezi dakika 30.
- Kuamka mapema na kulala kwa wakati.
- Kutenga muda wa kutafakari na kupata mwanga wa jua.
Asante
Sina Hakika Aseee ... Kubadilika NI Ww Mwenyewe Only That Uamuzi Wako🤔Wakuu, kuna mambo madogo tunayoyafanya kila siku ambayo yanaweza kuwa yanaturudisha nyuma bila sisi kujua.
Fikiria kujipa siku 30 za kufanya haya:
- Kupunguza muda wa mitandao ya kijamii.
- Kuacha pombe na vyakula visivyo na afya.
- Kusoma angalau dakika 30 kila siku.
- Kufanya mazoezi dakika 30.
- Kuamka mapema na kulala kwa wakati.
- Kutenga muda wa kutafakari na kupata mwanga wa jua.
Asante
Anza taratibu page 5 Au 10 Tulia ....yaani mimi kusoma vitabu kwenye simu naona uvivu mno sijui kwanini
nitajaribuAnza taratibu page 5 Au 10 Tulia ....