Lord genesis
Member
- Jan 3, 2024
- 25
- 47
Ili uweze kujifunza na kubadili mengi katika fikra na maisha yako kuna kitu cha muhimu sana unatakiwa kukijua, UNATAKIWA KUJUA KUWA HUJUI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema najua kaka huo ni mtazamo wako tu, na jambo jengine sio mbaya watu kukuona unajua ila wewe muhusika ili ujue mengi unatakiwa usijue mengiMbona we unajidai unajua na wakati unatakiwa kujua hujui?
Thats Better Thread for the Starter!Ili uweze kujifunza na kubadili mengi katika fikra na maisha yako kuna kitu cha muhimu sana unatakiwa kukijua, UNATAKIWA KUJUA KUWA HUJUI.
Asante mkuu tuendelee kuwa pamoja.Thats Better Thread for the Starter!
Kwanini ujue wakati wajua na ukijua hutakiwi kujua kama unajua kujua siyo kujua hata ukijua bado hujajuaSijasema najua kaka huo ni mtazamo wako tu, na jambo jengine sio mbaya watu kukuona unajua ila wewe muhusika ili ujue mengi unatakiwa usijue mengi
wahenga walisema 'mshamba hachekwi, mjanja hajioneshi'mshamba_hachekwi Utajua hujui
Kuna muhenga niliwahi msikia "ushamba mzigo"wahenga walisema 'mshamba hachekwi, mjanja hajioneshi'
Kabisamshamba_hachekwi Utajua hujui
kama nini..?Nzuri.
Ooooh katika ubora wako🙆kama nini..?
😃 umetisha mkuuNi nn hapa mnajadili! Mm formula yangu ni kujifanya sijui..... Si mnaona hata hapa sijui