Umepotezana miaka kibao na jamaa yako, mnakuja kukutana hivi karibuni. Unashindwa kabisa kuficha njaa zako, sms za simu za virungu kibao.
Umetambulishwa kwa mtu anayekuzidi uwezo basi chota maarifa. Najua hatuishiwi shida, lakini unaonaje ukificha kwanza njaa zako ili kujijengea heshima na kuaminika?