Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha
maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
 

Attachments

  • 56ee2d9bf36f42db8e4b8a7e7c9fb0e4_4F4EC0B2FCBC6D5B933B3C6F2CB3FFBF_video_dashinit.mp4
    487.7 KB
Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha
maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
Kuhama ngorongoro ni hiyari.
 
Ukaidi si asili yetu. Pia acheni kujidai "special"
 
Huku bara ni amani tu...

Ndg.zetu waliohamia Msomera wilayani Handeni Tanga wanaendelea kuwaelimisha ndugu na jamaa zao ambao bado hawajataka kuelewa uadhimu wa uendelevu wa IKOLOJIA ya NGORONGORO milele dumu....

Yuko rafiki yangu aitwaye Mollel wa Msomera yeye amekuwa akipiga simu nyingi sana...nyingi mno kwa marafiki wakaidi kuwaeleza na kuwakumbusha kuwa hata Dr.Luth mwenyekiti wa KAMISHENI YA HAKI AFRIKA aliridhishwa na uadilifu uliofanyiwa wakazi waliohamia MSOMERA....

#Raia Mwema ni mtiifu wa Taifa lake Pendwa[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom