Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

Kaka hili bandiko... kwa watu wanaosaka maisha... watakuelewaa sana... Ubarikiwe mkuu...
 
Ndio maana halisi ya kula chumvi nyingi...tukifika huko tutaungana na wew katika andiko hilo.
Binafsi naamini tunajifunza kupitia makosa ili kupiga hatua katika maisha.
 
Ndio maana halisi ya kula chumvi nyingi...tukifika huko tutaungana na wew katika andiko hilo.
Binafsi naamini tunajifunza kupitia makosa ili kupiga hatua katika maisha.
Hakika mkuu, pambania njia yako ,huku ukisoma ramani kwa wahenga usitoke mstarini
 
Hiyo picha ni ya kaburi?
Maana nasikia huko majuu, wenzetu wanajenga makaburi kama maghorofa na yanakiwa na taa za ndani!
 
Hongera Sana brother! Matumizi sahihi ya Akili! Ni tafakari pana Sana,inatakiwa kuwekwa kwenye mtaala wa University, maana ndiko tunakoenda kuwaandaa hawa watu wetu [emoji24][emoji24] now I understand why they say life begins at 40 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shukrani mkuu
 
Andiko zuri

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye somo la saikolojia kuna mada inaitwa "Growth and development" kama ambavyo mtoto wa miezi 6 - 10 anatabia ya kuweka mdomoni kila anachookota basi ni sawa na mtu kuanzia 50's , 60's na kuendelea. Huu unaitwa umri wa majuto. Wengi sana wanashindwa kukubaliana na ukweli kwamba walishapoteza au kukosea na inawabidi waishi maisha mapya according to flow of life. So muelewe na uende naye taratibu.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ethos ,Pathos and Logos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…