Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

Hapa ndipo naanza kuelewa maneno ya biblia hasa kitabu kile cha muhubiri asante mtoa mada
 
Hata dini nyingi ni za kutiana hofu tu wai Cha Muhimu punzi tu bana Mungu pekee
 
Nimelikuta hili andiko lako hakika ni critical and great thinking.. Asante kwa mawazo mazuri sana.. mimi ni early 30s lakini nahisi nishafikia hio level ya kuondoa hio hofu ni kweli konachoshuhulisha sana watu wengi ni kujicompare na wengine while maishani basic needs are the same.. aliekula piza na burger yupo sawa tu na aliekula ugali na maharage au dagaa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sure
 
Hata dini nyingi ni za kutiana hofu tu wai Cha Muhimu punzi tu bana Mungu pekee
Dini zinatoa matumaini kwa watenda mema,
Na kuahidi adhabu Kwa watenda makosa wasipotubia,

Kitu ambacho ni kweli
 
Back
Top Bottom