BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Zamani ukisikia kesi za Uhaini, akina McGhee,Hans Pope, Tamim Ali,Uncle Thom. Na Wakili Maarufu Murtaza Lakha,unasisimuka kutaka kujua hawa watu Walijiamini na kujipanga vipi kumuondoa Mchonga Meno!
Lakini kwa Sasa ukiwa na Msimamo Mkali,usipoyumbishwa na usipokuwa na Price Tag! Una Conviction katika unayoyasimamia bila Woga! Jiandae na kesi ya Mchongo ya Uhaini! Baadhi ya Viongozi wana uchu,ubinafsi,roho za Unyama kiasi cha kuharibu maisha ya Watu wengine Ili yeye abaki madarakani! Build capacity to remain relevant! Sio kubambika kesi watu! Huo ni uuaji, Mungu anafuatilia mnayoyafanya Gizani!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake