BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Ukikimbia nchi kwa ajili ya kuokoa Maisha yako,kuepuka ukandamizaji wa Haki, Utawala Mbaya, Umaskini
Ulikokimbilia ambako umekuona ni bora,tulia, fanya mambo ya kunufaisha maisha yako na familia yako huko!
Usihangaike na nchi uliyoikimbia
Ukiwa nje unakosa Locus na Moral authority ya kupambania nchi uliyokimbia, huwezi tumia watu wengine kupigania ulichoshindwa ukakimbia
Tumia energy yako vizuri huko uliko, watu wengi hawahitaji kupambaniwa,they dont care
They dont respect people's who fight for them.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake