A
Anonymous
Guest
Kuna mazingira ambayo ni kama utapeli unaofanywa na Vijana wanaoendesha Bodaboda wakati wa usiku maeneo mengi ya Dar es Salaam wakati wa kurudisha chenji.
Kuna siku nilitoa Tsh. 10,000 baada ya safari ambayo ilitakiwa nilipite Tsh. 1,000 nilivyompa akafanya kama anatoa chenji lakini akakimbia.
Ikatokea tena siku nyingine nilitoa shilingi 5,000, akatakiwa kunirejeshea buku nne, naye akakimbia, nilihisi kwa kuwa natumia Bodaboda ambazo siyo rasmi kama zile zinazofanya biashara kw anjia ya mtandao, nikaamua ku request napo yakanikuta hayohayo.
Nimegundua kuwa Kisaikolojia Bodaboda wengi hawapo sawa kichwani, hivyo nitoe angalizo unapokodisha usafiri wa pikipiki usiku ni vizuri ukawa na fedha Taslim ya huko unapokwenda vinginevyo yatakukuta yaliyonikuta mimi mara kadhaa.