Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapongeza sana hao bodaboda. Mtu una hela ya taxi afu unasumbua wengine kwa vibukubuku?Kuna mazingira ambayo ni kama utapeli unaofanywa na Vijana wanaoendesha Bodaboda wakati wa usiku maeneo mengi ya Dar es Salaam wakati wa kurudisha chenji.
Kuna siku nilitoa Tsh. 10,000 baada ya safari ambayo ilitakiwa nilipite Tsh. 1,000 nilivyompa akafanya kama anatoa chenji lakini akakimbia.
Ikatokea tena siku nyingine nilitoa shilingi 5,000, akatakiwa kunirejeshea buku nne, naye akakimbia, nilihisi kwa kuwa natumia Bodaboda ambazo siyo rasmi kama zile zinazofanya biashara kw anjia ya mtandao, nikaamua ku request napo yakanikuta hayohayo.
Nimegundua kuwa Kisaikolojia Bodaboda wengi hawapo sawa kichwani, hivyo nitoe angalizo unapokodisha usafiri wa pikipiki usiku ni vizuri ukawa na fedha Taslim ya huko unapokwenda vinginevyo yatatkukuta yaliyonikuta mimi mara kadhaa.
Kwa hiyo SEHEMU ya kulipa 1000 kama Nina elf 10 natakiwa nilipe elf 8 si ndivyo
Halafu BODABODA ni usafiri wa kila mtu hauna umaarufi tajiri Wala masikini
Bodaboda ni kama maji usipoyaoga utayanywa tu
Nafuu wewe umekuwa ukipigwa 10k..Kuna mazingira ambayo ni kama utapeli unaofanywa na Vijana wanaoendesha Bodaboda wakati wa usiku maeneo mengi ya Dar es Salaam wakati wa kurudisha chenji.
Kuna siku nilitoa Tsh. 10,000 baada ya safari ambayo ilitakiwa nilipite Tsh. 1,000 nilivyompa akafanya kama anatoa chenji lakini akakimbia.
Ikatokea tena siku nyingine nilitoa shilingi 5,000, akatakiwa kunirejeshea buku nne, naye akakimbia, nilihisi kwa kuwa natumia Bodaboda ambazo siyo rasmi kama zile zinazofanya biashara kw anjia ya mtandao, nikaamua ku request napo yakanikuta hayohayo.
Nimegundua kuwa Kisaikolojia Bodaboda wengi hawapo sawa kichwani, hivyo nitoe angalizo unapokodisha usafiri wa pikipiki usiku ni vizuri ukawa na fedha Taslim ya huko unapokwenda vinginevyo yatatkukuta yaliyonikuta mimi mara kadhaa.
Si tulikubaliana wana JF wa Darisalama wote mna magari, imekuwaje tena?Kuna mazingira ambayo ni kama utapeli unaofanywa na Vijana wanaoendesha Bodaboda wakati wa usiku maeneo mengi ya Dar es Salaam wakati wa kurudisha chenji.
Kuna siku nilitoa Tsh. 10,000 baada ya safari ambayo ilitakiwa nilipite Tsh. 1,000 nilivyompa akafanya kama anatoa chenji lakini akakimbia.
Ikatokea tena siku nyingine nilitoa shilingi 5,000, akatakiwa kunirejeshea buku nne, naye akakimbia, nilihisi kwa kuwa natumia Bodaboda ambazo siyo rasmi kama zile zinazofanya biashara kw anjia ya mtandao, nikaamua ku request napo yakanikuta hayohayo.
Nimegundua kuwa Kisaikolojia Bodaboda wengi hawapo sawa kichwani, hivyo nitoe angalizo unapokodisha usafiri wa pikipiki usiku ni vizuri ukawa na fedha Taslim ya huko unapokwenda vinginevyo yatatkukuta yaliyonikuta mimi mara kadhaa.
Mwambie aache kufanya kazi usiku.Acha kutembea usiku........
mkuu kwa hiyo mtu akiendesha bodaboda ndio awe wa hovyo...aisee kuna ngumu na za hatari kuliko hata hiyo bodaboda....tembelea machimboni kwenye migodi ukajionee......jaribu kuendesha bodaboda utajua! Mchawi ni ile bodaboda akibadili kazi anakuwa normal
Hujawahi kumuona Mo dewji anawahi airport na boda?au Mondiusafiri wa hovyo tangu lini ukawa wa kila mtu?
Wimbi la genge la vibaka, wezi na majambazi wameamua kujificha huko, sababu serikali imewavisha cheo kikubwa cha heshima 'Maafisa usafirishaji', huku wakitakiwa kuvaa nembo ya Taifa na picha halisi ya Samia vifuani mwao.Kuna mazingira ambayo ni kama utapeli unaofanywa na Vijana wanaoendesha Bodaboda wakati wa usiku maeneo mengi ya Dar es Salaam wakati wa kurudisha chenji.
Kuna siku nilitoa Tsh. 10,000 baada ya safari ambayo ilitakiwa nilipite Tsh. 1,000 nilivyompa akafanya kama anatoa chenji lakini akakimbia.
Ikatokea tena siku nyingine nilitoa shilingi 5,000, akatakiwa kunirejeshea buku nne, naye akakimbia, nilihisi kwa kuwa natumia Bodaboda ambazo siyo rasmi kama zile zinazofanya biashara kw anjia ya mtandao, nikaamua ku request napo yakanikuta hayohayo.
Nimegundua kuwa Kisaikolojia Bodaboda wengi hawapo sawa kichwani, hivyo nitoe angalizo unapokodisha usafiri wa pikipiki usiku ni vizuri ukawa na fedha Taslim ya huko unapokwenda vinginevyo yatakukuta yaliyonikuta mimi mara kadhaa.