yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Natumaini Jumapili inaenda vyema kwa kila mmoja wetu huko alipo.
Kwa wale amabao haiendi vizuri poleni na zidisheni kumuomba Mungu.
Waheshimiwa nina swali.
Mtu kama ulikopa pesa benki "A" bila dhamana yoyote kwa kuwa ulikuwa unapokea mshahara kupitia benki hiyo, na bahati mbaya kutokana na kubadilika kwa mwelekeo wa maisha ukashindwa kulipa deni.
Je, ukiamua kufungua akaunti benki "B", pesa utakazoziweka huko zinaweza kukatwa na mamlaka husika mfano benki kuu na kupelekwa kulipa deni la benki "A"?
Karibuni.