Otman Moood
Member
- Jul 12, 2022
- 27
- 12
App za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana.
Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi kudukua namba zak mawasiliano na phonebook ya mteja wao.
Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi kudukua namba zak mawasiliano na phonebook ya mteja wao.