Otman Moood
Member
- Jul 12, 2022
- 27
- 12
Mkataba wenu unasemnisheria ipi inaruhusu KUDUKULIWA KWA TAARIFA
Dawa ya deni ni kulipa.App za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana.
Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi kudukua namba zak mawasiliano na phonebook ya mteja wao.
Ilikuwaje bossTangu nikope tala na branch kipindi kile sina hamu tena kwa vitisho vyao
Ukidaiwa wewe ni mtumwa wa anaye kudai kataa kudaiwa kataa kuwa mtumwaApp za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana.
Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi kudukua namba zak mawasiliano na phonebook ya mteja wao.
View attachment 3006756View attachment 3006757