Ukikosa pesa unakuwa na hali gani au mood ipi?

Ukikosa pesa unakuwa na hali gani au mood ipi?

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Mimi nikikosa pesa Huwa najishangaa nakuwa mkali mkali sio kwa watoto hata kwa watu wengine wanao nizunguka huwa sielewi hii hali
 
hasira jamani 😂😂😂uso nnavyoukunja aaah🙌🏿🙌🏿🙌🏿 kama hapa nimenuna kama sijui nimefumania kumbe ni sina hela
 
😳 kuna watakaokuja kusema unakosaje pesa kwa mfano

Mi nkikosa pesa/kuwa na pesa nakuwa kawaida tu hata hujui anayo /hana
 
Back
Top Bottom