Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

hawana lolote watu wa hili kabila, matapeli wakubwa

Ulisha ingizwa kingi sio!!! Shwai kweli!!! Ulipeleka uvivu wakp uchagani ukafikiri wange kuchekea chekea!!! PIGA CHIIIIINIIII!!
 
Kama kuna kabila lenye mila za hovyo dhidi ya wanawake Tanzania hii ni la wachagga. Wazee wa kichagga wanakula binti zao. Wazee wa kichagga wanakula hata wake za watoto zao. Aibu eti wanajifanya ndiyo ukisasa

Nani alikusaidia kujinga JF uje u comment ki hivi!!?? Acha umbea ww rudi FaceBook, hapa ni watu wa level nyingine, kizuri kisiwe kweli, kibaya kipondwe kweli ILA kwa hoja zenye mashiko...aya Dhibitisha maneno yako hapo juu au source???!!!
 
Itabidi huyo binti afundishwe pia na mila ya 'U-PALESTINA!'
 
Kuriya ndo nini hebu weka sawa mleta mada maana hiyo maneno sijawahi kuisikia kule R***o si unajua lugha yenu ilivyotofauti kulingana na mahali!

Kuriya ni kupiga kinywaji au kunywa!!teh teh teh!
 
hawana lolote watu wa hili kabila, matapeli wakubwa

Sasa haya ya kutokuwa na lolote yametokea wapi tena, walikudunda kibuti nini una hasira?

Mimi naona hayo mambo yao wangefanya wenyewe. Itakuwa vipi kama wengine wakiwaletea za kuleta kwa mfano waseme ili kuoa binti yetu inalazimu baba wa bwana harusi aoshwe korodani zake kwenye kisosi kumtakasa?
 
Mila zingine hazifai kwa siku hizi. Kama mtu ana kifua kikuu akuambukize kwa sababu ya mila?
 
Mila zingine hazifai kwa siku hizi. Kama mtu ana kifua kikuu akuambukize kwa sababu ya mila?
hata mi nisingekunywa aisee,kitu kimeriwa karibu na ukoo mzima halaf namimi nikatie domo langu huko, haiwezekani, Mtu ni afya bana!
 
Nani alikusaidia kujinga JF uje u comment ki hivi!!?? Acha umbea ww rudi FaceBook, hapa ni watu wa level nyingine, kizuri kisiwe kweli, kibaya kipondwe kweli ILA kwa hoja zenye mashiko...aya Dhibitisha maneno yako hapo juu au source???!!!

Bakululu ni PM nikupatie orodha ya wachagga unaowaheshimu uone walichowafanya au wakwe zao au mabinti zao. Siwezi kuandika uwongo i look a tabia hii iko sana kwa hawa wenzetu.
 
naona ss mnataka kutuaribia kabila, uyo broo {nyaletura nkamangi wa kimashami kabisa kandelweengie kyasaka}.
 
BB nimependa mawazo yako, ur a greater thinker, umejaribu kuonyesha uwezo!! Ila kama ni mm wakisema nifanye hivyo na nina itaji mke, nitafanya, kitu gani bwana....kupenda ni kupenda tuu BB!! Unaambiwa ukienda ugenini ukikuta wanalala kwa kugeukia kushoto na ww hukohuko!!
 
Weeee ishia hapo hapo kabila ni letu na mila ni yetu haujaombwa kuchangia

ingekuwa hamtaki watu wachangie mngepeleka huko huko kwenu moshi, ukiweka hapa lazima watu wachangie
 
Kuriya ndo nini hebu weka sawa mleta mada maana hiyo maneno sijawahi kuisikia kule R***o si unajua lugha yenu ilivyotofauti kulingana na mahali!
mimi si mchaga lakini kwa kabla langu kuriya ni kunywa.
 
Hata mimi niko scared na mila za wachagga dhidi ya wanawake, nasikikia wanawakeketa mabinti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…