Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

Kama kuna kabila lenye mila za hovyo dhidi ya wanawake Tanzania hii ni la wachagga. Wazee wa kichagga wanakula binti zao. Wazee wa kichagga wanakula hata wake za watoto zao. Aibu eti wanajifanya ndiyo ukisasa

Nani alikusaidia kujinga JF uje u comment ki hivi!!?? Acha umbea ww rudi FaceBook, hapa ni watu wa level nyingine, kizuri kisiwe kweli, kibaya kipondwe kweli ILA kwa hoja zenye mashiko...aya Dhibitisha maneno yako hapo juu au source???!!!
 
Itabidi huyo binti afundishwe pia na mila ya 'U-PALESTINA!'
 
Kuriya ndo nini hebu weka sawa mleta mada maana hiyo maneno sijawahi kuisikia kule R***o si unajua lugha yenu ilivyotofauti kulingana na mahali!

Kuriya ni kupiga kinywaji au kunywa!!teh teh teh!
 
hawana lolote watu wa hili kabila, matapeli wakubwa

Sasa haya ya kutokuwa na lolote yametokea wapi tena, walikudunda kibuti nini una hasira?

Mimi naona hayo mambo yao wangefanya wenyewe. Itakuwa vipi kama wengine wakiwaletea za kuleta kwa mfano waseme ili kuoa binti yetu inalazimu baba wa bwana harusi aoshwe korodani zake kwenye kisosi kumtakasa?
 
Mila zingine hazifai kwa siku hizi. Kama mtu ana kifua kikuu akuambukize kwa sababu ya mila?
 
Mila zingine hazifai kwa siku hizi. Kama mtu ana kifua kikuu akuambukize kwa sababu ya mila?
hata mi nisingekunywa aisee,kitu kimeriwa karibu na ukoo mzima halaf namimi nikatie domo langu huko, haiwezekani, Mtu ni afya bana!
 
Nani alikusaidia kujinga JF uje u comment ki hivi!!?? Acha umbea ww rudi FaceBook, hapa ni watu wa level nyingine, kizuri kisiwe kweli, kibaya kipondwe kweli ILA kwa hoja zenye mashiko...aya Dhibitisha maneno yako hapo juu au source???!!!

Bakululu ni PM nikupatie orodha ya wachagga unaowaheshimu uone walichowafanya au wakwe zao au mabinti zao. Siwezi kuandika uwongo i look a tabia hii iko sana kwa hawa wenzetu.
 
Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu kama mbege na kuria kidogo halafu kumkabidhi mtoto wake bwana harusi,na yeye ana riya kidogo na kumkabidgi baba yake,halafu tena baba ana riya kidogo tena na kumkabidhi bibi harusi ili ariye kidogo,lakini tunashangaa eti bibi harusi alitaka kukataa kuria ile mbege,kwa taarifa tu ni kwamba kile kitendo ni cha kimila na kinafanyika vile mbele za watu ili kuonyesha upendo katika familiya na umoja,sasa huyu dada yetu alikuwa hajui hayo??kama umekubali kuolewa na mchaga ujue hiyo ndiyo mila yetu,sisi hatuna mambo ya ngona na kanga moja kama huko kwenu,ukimpenda mchaga kubali yote

naona ss mnataka kutuaribia kabila, uyo broo {nyaletura nkamangi wa kimashami kabisa kandelweengie kyasaka}.
 
Sasa haya ya kutokuwa na lolote yametokea wapi tena, walikudunda kibuti nini una hasira?

Mimi naona hayo mambo yao wangefanya wenyewe. Itakuwa vipi kama wengine wakiwaletea za kuleta kwa mfano waseme ili kuoa binti yetu inalazimu baba wa bwana harusi aoshwe korodani zake kwenye kisosi kumtakasa?

BB nimependa mawazo yako, ur a greater thinker, umejaribu kuonyesha uwezo!! Ila kama ni mm wakisema nifanye hivyo na nina itaji mke, nitafanya, kitu gani bwana....kupenda ni kupenda tuu BB!! Unaambiwa ukienda ugenini ukikuta wanalala kwa kugeukia kushoto na ww hukohuko!!
 
Weeee ishia hapo hapo kabila ni letu na mila ni yetu haujaombwa kuchangia

ingekuwa hamtaki watu wachangie mngepeleka huko huko kwenu moshi, ukiweka hapa lazima watu wachangie
 
Kuriya ndo nini hebu weka sawa mleta mada maana hiyo maneno sijawahi kuisikia kule R***o si unajua lugha yenu ilivyotofauti kulingana na mahali!
mimi si mchaga lakini kwa kabla langu kuriya ni kunywa.
 
BEN3.jpg

Ukiwa kwa waroma fanya kama waroma
 
Hata mimi niko scared na mila za wachagga dhidi ya wanawake, nasikikia wanawakeketa mabinti
 
Back
Top Bottom