Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

kuna baathi ya mila za kichagga sizipendi kabisa. hasa hiyo ya kuria kama mie sipendi au ni born again inakuwaje?
 
Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu kama mbege na kuria kidogo halafu kumkabidhi mtoto wake bwana harusi, na yeye ana riya kidogo na kumkabidgi baba yake, halafu tena baba ana riya kidogo tena na kumkabidhi bibi harusi ili ariye kidogo.

Lakini tunashangaa eti bibi harusi alitaka kukataa kuria ile mbege, kwa taarifa tu ni kwamba kile kitendo ni cha kimila na kinafanyika vile mbele za watu ili kuonyesha upendo katika familiya na umoja, sasa huyu dada yetu alikuwa hajui hayo??

Kama umekubali kuolewa na mchaga ujue hiyo ndiyo mila yetu, sisi hatuna mambo ya ngona na kanga moja kama huko kwenu, ukimpenda mchaga kubali yote.

Nadhan Hapa sio Jukwaa Husika, Ni Bora kwenda kwenye Jukaa Maridhawa
 
La hili Kabila la wachagga jamani naona liko very special
Naona kila siku wachagga wachagga..kabila langu binafsi huwa naliona mara moja baada ya miaka miwili.

Kuna mchagga wa akiba JF alete posa kwa mtoto wangu?..
 
BEN3.jpg

Ukiwa kwa waroma fanya kama waroma
kumbe hivi vidude ndivyo wanavyonyweaga hiyo mbege
 
Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu kama mbege na kuria kidogo halafu kumkabidhi mtoto wake bwana harusi, na yeye ana riya kidogo na kumkabidgi baba yake, halafu tena baba ana riya kidogo tena na kumkabidhi bibi harusi ili ariye kidogo.

Lakini tunashangaa eti bibi harusi alitaka kukataa kuria ile mbege, kwa taarifa tu ni kwamba kile kitendo ni cha kimila na kinafanyika vile mbele za watu ili kuonyesha upendo katika familiya na umoja, sasa huyu dada yetu alikuwa hajui hayo??

Kama umekubali kuolewa na mchaga ujue hiyo ndiyo mila yetu, sisi hatuna mambo ya ngona na kanga moja kama huko kwenu, ukimpenda mchaga kubali yote.

Kama mila zenu ni kuriya wakati wa sherehe, ilipaswa kumfahamisha huyo bibi harusi in advance kwamba kuna huo utaratibu wa kimila wa kuria kuliko kumshtukiza na baadaye kuanza kumlaumu kwa kosa lisilo lake.
Tafakari kaka ....
 
Kama we sio mchaga huwezi kuzipenda huwezi kumwambia mmama wa kichaga aende ngomani wakati mazao hayajapaliliwa na mbolea imejaa kwenye zizi kwa hiyo kuna tofauti kati ya kabila na kabila uzilazimishe mchaga awe kama msukuma au msukuma awe kama mzaramo
kuna baathi ya mila za kichagga sizipendi kabisa. hasa hiyo ya kuria kama mie sipendi au ni born again inakuwaje?
 
Jamani hakuna Kabila ilokamilika , naona bora kila mtu aheshimu Kabila ya mwenzie na mila zao....
 
kila cku jf ni wachaga,ama kweli mti wenye matunda ndo huanguliwa,mi fulu mchaga,maji masafi tz yote na internationaly acredited,frm chaga land.mji msafi frm chaga land,watu wasafi wazur wa kike na mavijana ya uhakika frm chagaland,elimu 2po juu juu zaid,yaan kuna wa2 inawauma wakisoma maneno yngu,jamanie kwenu ni kwenu c unaogopa kupasifia,
Mwsho 2achen wachaga 2ish kama watanzania,kama kuna mdada karopoka eti matapel,ebo hatukuitaji uchagan na kama kuna kidume ana2pondea its ok utaishia kuchonga.
2acheni
 
Back
Top Bottom