Ukikubali kupenda kubali kuumia

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ukikubali kupenda kubali kuumia. Mapenzi na maumivu ni watoto mapacha. Wanapendana, wanaenda pamoja kila mahali na hawaachani.

Ni sawa na kufungua akaunti NMB halafu unaogopa foleni. Kama hauko tayari kuumia achana na mapenzi fanya biashara ya karanga, haya Mahaba tuachie sie Wasukuma tuliozoea kuumia na kulia bila hata kuona turubai la Msiba
 
Good,, but Uumia With Money in ur pocket, If someone hurts you, unabaki na pesa mfariji wa woteee
 
Kwenye pendo la dhati kuumia ni kudogo sana kuliko kuinjoy love. We always enjoy in a true love
 
Mapenzi hayana maana kabisa, ni basi tu nye:ge zinatusumbua na kutulazimisha kujiingiza ktk mapenzi.
 
Mapenzi hayana maana kabisa, ni basi tu nye:ge zinatusumbua na kutulazimisha kujiingiza ktk mapenzi.
Kama jana nilipigwa mzinga mpaka nikaumwa na njaa hapo hapo dadeki
 
Good,, but Uumia With Money in ur pocket, If someone hurts you, unabaki na pesa mfariji wa woteee
Kweli asee Mi siku hela ikipungua ndo huwa na stress na zikiongezeka stress zinakuwa kwishney
 
Kama jana nilipigwa mzinga mpaka nikaumwa na njaa hapo hapo dadeki
mhhhh mbona hukuniambiaaaa, na ulikuwa unafanya nini na huyo alokupiga mzinga.

hihihihiiiiiiihiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…